Fomu ya Kuandika Barua Rasmi
Tafadhali jaza fomu hii kwa uangalifu. Hakikisha unaandika yafuatayo kwa lugha unayotaka barua yako itokee:
- Jina lako kamili
- Anuani yako kamili (S.l.p, mtaa, mkoa, namba ya simu nk.)
- Anuani ya barua unakopeleka (Jina au cheo cha mwandikiwa, S.l.p, Wilaya, Mkoa)
- Yahusu (mada ya barua)
- Tarehe ya kuandika barua
- Dhumuni, Elimu, uzoefu, sababu ya kuomba nk.