Jinsi ya kutumia huduma hii:
- 📁 Chagua PDF unayotaka kuhariri kwa kubofya "Chagua Faili".
- ✏️ Maandishi yatafunguka chini, unaweza kuhariri (bold, italiki, underline, heading, bullet, nk).
- 🎨 Chagua maandishi → badilisha rangi ya maandishi au background.
- 🖼️ Ongeza picha kwa kubofya ikoni ya picha na buruta kona kuibadilisha ukubwa.
- 📐 Andika ukubwa (mfano 0.5 au 2) kisha bonyeza “Badilisha Ukubwa wa Picha” ili kuibana au kuipanua picha.
- 💾 Ukimaliza, bonyeza Hifadhi PDF kutuma kwenye server.